#DIAE,
harusi hii ilifanywa na crew ya DIAE na kuhaliliwa na mtendaji mkuu na kuwekwa kwenye channel yetu. kwa kujionea kazi zetu mbalimbali tembelea channel zetu na kurasa zetu. Karibu sana.
...
https://www.youtube.com/watch?v=YpStDdZ49t8
Kazi hii ilifanyika tarehe 12.04.2016, katika kumpongeza na kumuanga ndugu Ayrah. tukio hili lilifanyika katika ukumbi wa TAZARA. kazi nzima ilifanywa na crew ya DIAE. karibuni wote. kwa mawasiliano zaidi tizama kazi zetu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=xt2sAW0uyEg
hii ni video au funzo kwa wadau wanaopenda kufahamu matumizi ya komputer na vifaa mbalimbali vinavyotumika katika komputer. Angalia video hii na subcribe kwaajili ya kupata video zetu mbalimbali zinazohusu komputer na teknohama kwa ujumla . Ahsante
...
https://www.youtube.com/watch?v=py-wkLegxN4
Ndoa ilifungwa katika kanisa la katoliki st.Annualite lililoko makuburi, ikifatiwa na tafrija fupi ya kuwapongeza wana ndoa hao iliyofanyika katika ukumbi wa best choice tarehe: 16.04.2016. DIAE inawapongeza kwa hatua waliyoifikia. Karibuni tufanye kazi pamoja.
...
https://www.youtube.com/watch?v=I8HqJ5iBjV0