Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Mh. John Pambalu, amesema Bunge limegeuka Baraza la usuluhishi, ameyasema hayo Leo akizungumza na vijana wa Mkoa Njombe, kwenye muandelezo wa Ziara ya kuwaona wafungwa wa kisiasa magereza wakiwa pamoja na Mratibu wa Bavicha Taifa Mh. Twaha Mwaipaya
Unaweza kuchangia kupitia M PESA 0746 777 845 TWAHA MWAIPAYA
...
https://www.youtube.com/watch?v=3Po7SjBSqnI