#HabariKwanza #HajiManara #SimbavsLipuli
Manara Haishiwi Maneno, Leo Kaja na Hili kwa Matola wa Lipuli Baada ya Ushindi wa Simba
SUBSCRiIBE Kupata Habari Kila Zinapotufikia
.Kwa Matangazo Wasiliana nasi 0713338861
...
https://www.youtube.com/watch?v=vN4D_iYIwZ0
#RIPMagufuli
SHUHUDIA Wanajeshi Walivyompa Heshima ya Kijeshi Rais Mama Samia Suluhu Hassan | Mizinga Yapigwa
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=QAr-AIohXBM
#MaajabuYaDunia
Kutana na mlemavu wa macho Mgimwa kutoka Iringa ambaye ameamua kujikita katika kushona viatu kitu ambacho siyo cha kawaida, anasimulia jinsi alivopata ulemavu wa macho na mambo magumu aliyopitia mpaka akatamani Kujiua lakini pia mwanamke aliyezaa naye watoto watatu alipomwachia watoto na kuondoka.
Je anawezaje kushona? Alianzaje? Karibu umsikilize mpaka mwisho hakika utajifunza mengi.
...
https://www.youtube.com/watch?v=xffH6emyEwI
BREAKING: Manara na Ahmed ally Waingia kwenye Vita Kali kisa penati ya simba|“na nyie mmebebwa sana"
msemaji wa klabu ya yanga haji sunday manara pamoja na msemaji wa simba ahmed ally wameingia kwenye sitofahamu baada ya wawili hao kuanza kupondana kwa maneno kufuatia tukio la simba kupewa penati katika mchezo wao dhidi ya prisons
aidha msemaji wa simba ahmed ally amejibu kejeli za haji manara kwa kukumbushia matukio ambayo yalionesha yanga kupewa penati ambazo sio za halali hivyo kupelekea watu hap kuingia kwenye vita kali ya maneno
...
https://www.youtube.com/watch?v=bzv_WaNlock
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=eXAQR9mb1ME
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=Ely45BgaaJ8