Neno Bodaboda Lina Tarakimu Ngapi? Majibu ya Madereva Bodaboda Yatakuvunja Mbavu
Leo Habari Kwanza tumetembelea vijiwe vya maderevabodaboda mkoani Iringa na kuwauliza swali la kizushi, Neno Bodaboda lina Tarakimu ngapi? Majibu yao yatakuchekesha na kukuvunja mbavu.
#UchaguziMkuu2020
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=-GE6GSLO7-Y
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=u6f9k469xUI
TAZAMA: Ahmed Ally Alivyowapa ‘Maneno ya Shombo’ Mtibwa Sugar | “Mashabiki Mje na Mikeka Uwanjani”
Baada ya kichapo cha goli moja dhidi ya Mbeya City wakiwa ugenini mkoani Mbeya, Simba Sports Club wanakaribishwa tena uwanja wa Manungu wilayani Turiani, Mkoani Morogoro kukipiga na wenyeji Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligu Kuu NBC.
Simba anaingia kwenye mchezo huu akiwa amejeruhiwa na Mbeya City huku wenyeji Mtibwa Sugar wakiingia na rekodi mbaya msimu huu ya kushinda mechi mbili pekee.
Msemaji wa Simba, Ahmed Ally yeye amefunguka na kusema Mtibwa wasitembelee nyota ya Mbeya City kwani wao wanaingia mchezoni wakiwa na kila sababu ya kupata ushindi.
Ahmed ameweka wazi wchezaji wa simba waliokuwa majeruhi na kusema ipo nafasi ya Clatous Chama, Pape Sakho na Erasto Nyoni kucheza kwenye mechi hiyo huku Mzamiru Yassin akianza pia katika uwanja ambao ulimfungulia ramani ya kucheza soka la kuliopwa nchini.
Dakika 90 ndio zitaamua kama Simba atashinda mbele ya Mtibwa au ni Mtibwa ndio watakaokataa uteja kwa Simba. Lakini shauku ya mashabiki wa Simba ni kuwaona mchezaji wao kipenzi Clatous Chama akicheza na kufunga goli
...
https://www.youtube.com/watch?v=WuvC5cBhQx8
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=DulM9u4pBn0