#MaajabuYaDunia
Kutana na mlemavu wa macho Mgimwa kutoka Iringa ambaye ameamua kujikita katika kushona viatu kitu ambacho siyo cha kawaida, anasimulia jinsi alivopata ulemavu wa macho na mambo magumu aliyopitia mpaka akatamani Kujiua lakini pia mwanamke aliyezaa naye watoto watatu alipomwachia watoto na kuondoka.
Je anawezaje kushona? Alianzaje? Karibu umsikilize mpaka mwisho hakika utajifunza mengi.
...
https://www.youtube.com/watch?v=xffH6emyEwI