Habari kwanza tumekuletea mambo kumi usiyoyafahamu kuhusu malkia elizabeth wa pili kuanzia alipozaliwa mpaka umauti ulipomkuta,moja ya mambo ni kuwa malkia akiwa na miaka ishirini na tano tu ndipo anapewa umalkia wa kuiongoza uingereza.
...
https://www.youtube.com/watch?v=H3uDDyyPXE8
Msemaji wa Simba, Ahmed Ally azungumzia matarajio ya timu yake kwenye Ligi Kuu ya NBC na kutupa kijembe kwa Yanga kwamba wajiandae.
Simba wako mkoani Mbeya kwa ajili ya mechi dhidi ya Mbeya City itayochezwa uwanja wa Sokoine saa 10:00 jioni huku watani zao Yanga wakiwa uwanja wa Mkwawani wakicheza na Coastal Union.
Katika msimamo wa Ligi ni Yanga ndio wanaoongoza huku Simba wakifuatia licha ya kuwa wamezidiwa michezo miwili na Yanga.
...
https://www.youtube.com/watch?v=mKVfjp1ro_U
#WorldCars #LandCruiser #Landrover
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=idv22qwWAb4