Kuelekea mechi ya Watani wa Jadi, Yanga vs Simba 30/4/2022 mkoani Dar es salaam, Mashabiki wa Yanga mkoani Iringa wametoa maambo yao kwa Mnyama Simba na kujitapa kwamba ni lazima wataibuka na Ushindi!
...
https://www.youtube.com/watch?v=P68VS_KVsMw
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ally Hapi ameendelea kuuwasha moto katika Ziara yake ya kutembelea mikoa mbalimbali (Mama Kwanza Mengine Baadaye) ambapo akiwa mkoani Singida, mkoa ambao anatoka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, Ndugu Ally Hapi alimwaga sera za CCM na kuweka wazi namna dhambi za Ubaguzi zinamvyomla Tundu Lissu.
Hapi amewaasa wananchi wa Singida kuachana na siasa za ubaguzi na kuwaogopa kama ukoma wanasiasa wanaoeneza ubaguzi
...
https://www.youtube.com/watch?v=mb6T2flasbI
KIMENUKA Kisutu: Mbowe Ahukumiwa Mkosa 12/ FFU na Wanachama wa CHADEMA Mabomu Yapigwa
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=BRHkqURW728