Majina ya watoto wa lulu na jokate yawa gumzo yawapa watu viulizo???
Elizabeth lulu na jokate wamefanikiwa kupata watoto kila mmoja akipata mtoto wa kike mwezi huu wa 12 mwaka wa 2022 na kuwapa majina yaliyowaacha watu na maswali. ... https://www.youtube.com/watch?v=IEkKMc6oRSY
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=cCJYm0zTAHU
BREAKING: Manara na Ahmed ally Waingia kwenye Vita Kali kisa penati ya simba|“na nyie mmebebwa sana"
msemaji wa klabu ya yanga haji sunday manara pamoja na msemaji wa simba ahmed ally wameingia kwenye sitofahamu baada ya wawili hao kuanza kupondana kwa maneno kufuatia tukio la simba kupewa penati katika mchezo wao dhidi ya prisons
aidha msemaji wa simba ahmed ally amejibu kejeli za haji manara kwa kukumbushia matukio ambayo yalionesha yanga kupewa penati ambazo sio za halali hivyo kupelekea watu hap kuingia kwenye vita kali ya maneno
...
https://www.youtube.com/watch?v=bzv_WaNlock