BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=MJY2Z3m6fxo
FAHAMU: Raisi katili aliyewakataza wachezaji wasirudi bila kombe| “jumatatu mnipe hela zangu”
wachezaji wa timu ya taifa ya guinea wahofia kurudi nyumbani bila kombe la afcon nakutimkia katika vilabu vyao vya kulipwa baada yakulikosa kombe hilo
baadhi ya watu wa uongozi wa timu ya taifa ya guinea waliporudi waliambiwa na raisi huyo mamady doumbaya aliyeingia madarakani kwa utawala wa kijeshi kuwa amewapa msamaha lakini kufikia jumatatu anahitaji pesa zao alizowapa
aidha timu ya taifa ya guinea imetolewa na timu ya taifa ya gambia katika hatua ya 16 bora ya kombe hilo la afcon mwaka 2022 hadi kufikia hivi sasa kombe hilo lipo katika robo fainali
...
https://www.youtube.com/watch?v=ajTwZfQ0WYM
#ACT-WAZALENDO
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=zNdtk0TxJso