Kijana Joel kutoka Ludewa ameanzisha Lumboyo project inayojihusisha na ufugaji wa samaki pamoja na kilimo Cha parachichi anatarajia kuvuna zaidi ya milioni 20 Kila mwaka kutoka katika project hiyo
...
https://www.youtube.com/watch?v=cwbIXM4Om08
Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mh. Joseph Kamonga aileza juu ya kuanzishwa kwa mgodi wa makaa ya mawe Ludewa.
Pia awasihi vijana kutumia fursa hiyo kwa kufunga kwa wingi na kilimo cha mboga mboga kutokana na uwepo wa soko.
Pia ahimiza uundwaji wa vikundi vya ujasilia Mali ili kuweza kupata Mikopo bila liba kutoka serikalini.
...
https://www.youtube.com/watch?v=zBFfARn7Sbk
Wasafirishaji mkoa wa Njombe waeleza changamoto zao katika kikao cha wasafilishaji mkoa wa njombe na LATRA, pia wasafilishaji hao wameweza kueleza changamoto mbali mbali ikiwemo kupanda kwa gharama za uendeshaji biashara hio
...
https://www.youtube.com/watch?v=qOj6cXl9KkU
RC Mtaka, amwagiza mwenyekiti wa chama cha walimu kusuruhisha migogoro ndani ya chama maana inapelekea utendaji mgumu wa kazi.
...
https://www.youtube.com/watch?v=3LlcYIftBJQ