Januari 10, 2022 Dkt. Tulia Ackson ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania nafasi ya USPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni Bw. Solomon Itunda katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma.
“Kwa mujibu wa katiba hakuna sheria yoyote ya Bunge inayomzuia Naibu Spika kugombea nafasi ya U-Spika, sio kwasababu nimechukua fomu basi nafasi ya U-Naibu spika iko wazi.. hapana.”-Dkt. Tulia Ackson
...
https://www.youtube.com/watch?v=_sUWlhgFVoc
Duuh! Hii Kali: Mgombea Upinzani 'Avaa kininja' Kuwasilisha Fomu kwa Msimamizi
BONYEZA LINK ? https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.
...
https://www.youtube.com/watch?v=cZpHXU0cgLw
BREAKING: Malkia Elizabeth wa Pili Afariki Dunia | Sababu hizi hapa
Taarifa za hivi punde ni kuhusu Malkia elizabeth wa pili ambaye amefariki dunia akiwa na miaka tisini na sita huko uingereza
...
https://www.youtube.com/watch?v=kzLIS_ho0Ug